• Hii ni habari njema kwa wakenya wote. Serikali imetangaza mradi mpya wa barabara utakaoboresha usafiri katika maeneo ya mashambani. Tunatazamia maendeleo zaidi.