Monica Njau: Kujenga akiba ni muhimu kwa mustakabali wako. Anza na kiasi kidogo, la
-
Kujenga akiba ni muhimu kwa mustakabali wako. Anza na kiasi kidogo, lakini fanya mara kwa mara. Hata asilimia 10 ya mapato yako inaweza kuleta mabadiliko makubwa baadae.
-
- Like
- Comment
- Share
-
