Nilipokuwa kwenye matatu jana kutoka CBD, abiria wote tulikuwa tunajad

  • Nilipokuwa kwenye matatu jana kutoka CBD, abiria wote tulikuwa tunajadili bajeti mpya ya serikali. Mmoja alisema bei ya unga ndio kila kitu kwake. Watu wanafuatilia sana hizi habari za Kenya siku hizi. #KenyaNews