Habari za Kenya leo: kabla ya kushare headline yoyote, simama kidogo n

  • Habari za Kenya leo: kabla ya kushare headline yoyote, simama kidogo na uangalie chanzo. Tip moja rahisi — enda moja kwa moja kwenye akaunti rasmi au tovuti ya taasisi husika kabla ya kuamini screenshot. #KenyaNews