Habari wakenya! Nimeona hizi mvua za hivi karibuni zimetuletea changamoto kubwa, hasa Nairobi na maeneo ya mtoni. Wakenya wengi wamepoteza nyumba na mali zao. Ni wakati wa kuwa macho na kusaidiana kama jamii. Pia serikali iweke mikakati ya kukabiliana na ... moreHabari wakenya! Nimeona hizi mvua za hivi karibuni zimetuletea changamoto kubwa, hasa Nairobi na maeneo ya mtoni. Wakenya wengi wamepoteza nyumba na mali zao. Ni wakati wa kuwa macho na kusaidiana kama jamii. Pia serikali iweke mikakati ya kukabiliana na mafuriko. Tutegemee ukomo wa hali hii. less