Sasa, niko campus na nimekumbuka jana nilikuwa na deadline ya assignment but nilikuwa nimezima phone yangu whole weekend. Sasa leo nimeamka mapema, nimepiga kazi hard, na assignment imekamilika. Ata professor ako happy. Hii ndo life ya student mtaani – hu... moreSasa, niko campus na nimekumbuka jana nilikuwa na deadline ya assignment but nilikuwa nimezima phone yangu whole weekend. Sasa leo nimeamka mapema, nimepiga kazi hard, na assignment imekamilika. Ata professor ako happy. Hii ndo life ya student mtaani – hustle na grind, but inapatikana. less