Nikiwa sokoni Kariobangi jana, niliona wakulima wadogo wakipanga bei y

  • Nikiwa sokoni Kariobangi jana, niliona wakulima wadogo wakipanga bei ya nyanya kwa WhatsApp group. Hii ndio Africa business ya leo - tech ndogo ndogo inabadilisha biashara. Businesses must adapt ama wabaki nyuma. #AfricaBusiness