Kila siku nikiangalia habari za Afrika naona kitu kimoja: tunajisahau. Tanzania inaongea kiswahili, Nigeria inaongea pidgin, Kenya inaongea sheng. Sisi ni watu wa lugha nyingi lakini story zetu zinasimuliwa na wengine. Leo nasema tu: tuanze kusimulia side... moreKila siku nikiangalia habari za Afrika naona kitu kimoja: tunajisahau. Tanzania inaongea kiswahili, Nigeria inaongea pidgin, Kenya inaongea sheng. Sisi ni watu wa lugha nyingi lakini story zetu zinasimuliwa na wengine. Leo nasema tu: tuanze kusimulia side yetu wenyewe. less