Hiring Kenya: Usikate tamaa kama hukupata kazi baada ya interview. Hii ni sehemu ya
-
Usikate tamaa kama hukupata kazi baada ya interview. Hii ni sehemu ya mchakato. Tafakari kile ulichojifunza na jiandae kwa nafasi ijayo. Kumbuka: kila interview ni fursa ya kujifunza.
-
- Like
- Comment
- Share
-

